Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 10, 2017

demo-image

VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST WAPATIKANA LEO.

DSC_7374
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Simon Msanjila  akikabidhi zawadi kwa washindi wa jumla wa Shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST) lililofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.
DSC_7357
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Simon Msanjila  akisoma Zawadi ya Washindi  shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST)lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam Kulia ni Mkurugenzi wa Shell Afrika Mashariki  na Bg Tanzania Marc Den Hartog akishuhudia
DSC_7358
Wanafunzi wakiwashangilia washindi wa jumla wa Shindano la Wana Sayansi Chipukizi lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
DSC_7413
Wanafunzi wakishangilia mara baada ya kupata zawadi zao za ushindi katika shindano la Wanasayansi Chipukizi.
DSC_7202

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *