Breaking News..Mchepuko Wafia Gest Siku ya Pasaka…

Mtu mmoja amefia nyumba ya wageni “Lodge” hapa Magomeni Kagera eneo maarufu kama “Friends Corner “Lodge ya Jumba la Dhahabu ,Haijafahamika mpaka sasa kama ni Mwanaume au Mwanamke, ILA kwa tetesi za watu wanadai ni mwanamke na Polisi hawakuweza kuzungumzia swala hili wala kuonesha mwili

from Blogger http://ift.tt/2nVg1fk
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2nVeWV6
via IFTTT