Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment and dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!! Welcome to VIVAX MEDIA, feel free to Comment., dont forget to Share (also please Click on the YOUTUBE, YOUTUBE, YOUTUBE button above/bellow the page).....!!

Artificial Intelligence(AI), Gas Economy New Tanzania Priorities in 2024/25

Chidi ataja Mahali Ilipo Gari Aliyomnunulia Shamsa Ford..:;

Tokeo la picha la chidi mapenzi              

                Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi  mke wake  limeshafika likimiwa limeingilia badari ya  Zanzibar na kichafanyika sasa niki .                                              
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema "lile ni gari ambalo alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini ingawa hana wasiwasi kwa kuwa mke wake ni mvumilivu na anaishi maisha ya aina yote.
Hata hivyo Chidi amesema hataki kabisa kusikiliza maneno ya watu kwa kuwa watu wanaongea mambo mengi ikiwa ni pamoja kusema amamkimbia mke wake na kwenda China wakati ukweli ni kuwa yeye ni mtu wa kusafiri mara kwa mara kwa sababu ya biashara zake.             





COMMENT AND SHARE.......................!!!!!!!!!!!
Share And Comment Bellow On What You Think About This Post!!!

Comments

Facebook Twitter Youtube