Kutana na PICHA 11 na Post za mastaa walizo post juu ya siku ya Valentines Day


Jana February 14 ilikua ni siku ya Wapendanao ambapo mastaa mbalimbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania walionyesha kutambua uwepo wa siku hii na kupost picha mbalimbali kwenye mitandao yao ya kijamii.

Ni Young Killer, Zari the Boss lady, Jux, Aunt ezekiel, Profesa Jay, Kim kardashian na wengine kama inavyoonekana hapa chini.

Mkali wa bongofleva Young Killer



Mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi



Mwimbaji staa wa bongofleva Jux



Mwigizaji wa Tanzania Aunty Ezekiel



Mkongwe wa Hiphop Tanzania Profesa Jay



Zari the Boss Lady wa Diamond Platnumz



Mshindi wa BBA Africa Idris Sultan



Mwimbaji staa J.Lo



TV Star Kim K



Staa wa hiphop Tanzania Joh Makini

Mkali mwingine wa bongofleva Young D



Related Posts

Post a Comment