Utabiri wa Hali ya Hewa Leo Machi 21 saa 21:00 mpaka Machi 22 saa 20:59

WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.email:met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/03/2016.


[Mikoa ya Morogoro (Kusini), Njombe na Iringa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Katavi na Mbeya]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Geita na Mwanza]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Kigoma na Tabora]:

Hali ya Mawingu kiasi mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Pwani na Morogoro (Kaskazini)]:
[Mikoa ya Tanga na Dar es Salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.


ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA NJOMBE, IRINGA, RUVUMA, RUKWA, KATAVI, MBEYA, MTWARA, LINDI, SINGIDA, DODOMA NA MOROGORO (KUSINI).

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto

Kiwango cha chini cha joto

Mawio (Saa)

Machweo (Saa)

ARUSHA
32°C
18°C
12:39
12:44
D'SALAAM
34°C
27°C
12:28
12:33
DODOMA
32°C
22°C
12:42
12:47
KIGOMA           
32°C
21°C
01:06
01:11
MBEYA
25°C
17°C
12:51
12:56
IRINGA
30°C
18°C
12:42
12:47
MWANZA
29°C
23°C
12:53
12:58
TABORA
30°C
18°C
12:54
12:59
TANGA
34°C
27°C
12:29
12:34
ZANZIBAR
35°C
27°C
12:28
12:33

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini - Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 23/03/2016: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 21/03/2016.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.